Stephanie Helber Helber Mashujaa wa msitu wa chini ya maji

Mashujaa wa msitu wa chini ya maji

von Stephanie Helber

EUR 9,90

Buch in deiner Nähe kaufen


...oder deine aktuelle Postleitzahl eingeben:
oder

Beschreibung

Chloe atahamia Zanzibar kwasababu mama yake ataanza kufanya kazi kisiwani hapo kama mwanabiolijia wa sayansi za bahari. Mara tu atakapowasili, Chloe ataanza kutembelea ulimwengu wa chini ya maji pamoja na mwanafunzi mwenzake mpya Amo. Walipokua wanaogelea baharini walikutana na nguva aliyeitwa Nya. Akawaonyesha nyumbani kwake - uwanda wa majani bahari unaoundwa na majani mabichi, manene hadi macho yanapoweza kuona. Katikati ya maji wanaona Wanyama wa kila aina ya rangi. Chloe na Amo wanavutiwa mara moja na maajabu haya ya chini ya maji. Hata hivyo, wanaporudi wiki chache baadaye kwenye ufuo huo baada ya majira ya joto kali, nyasi za baharini zimetoweka pamoja na rafiki yao Nya. Lilibakia jangwa la mchanga tu. Ni nini kilitokea na wanaweza kufanya nini? Chloe na Amo wakajipanga kurudisha msitu wao wa chini ya maji.

Autor*in

Stephanie Helber

Themen in »Mashujaa wa msitu wa chini ya maji«

Naturschutz Meer Freundschaft

Stimmen zu »Mashujaa wa msitu wa chini ya maji«

Details

ISBN: 9783730820230
Verlag: Isensee, Florian, GmbH
Erscheinung: 13.04.2023

Link teilen


Über buchnah.de | Die Buchhandlungen | Die Verlage | Impressum & Kontakt | Datenschutz | Presse


Auf dieser Seite kannst Du Buchhandlungen in der Nähe finden